Sasa umejisajili na akaunti yako imetengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kwenye akaunti yako, kabla ya kuweka bet yako.
Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kutumia, unachohitaji kufanya ni kubonyeza kwenye mchezo unaokuvutia, yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tenisi, Kriketi, Raga, Mchezo wa Ndondi, Mpira wa Mikono na kadhalika, ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.
Ili kuweka multibet, bonyeza kwenye timu ambayo unatabiri itashinda, timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).
Kama ungependa kutabiri matokeo ya michezo kuwa draw, bonyeza kwenye timu ya katikati ili uchague X (DRAW).
Kama ungependa kutabiri kwenye masoko ya ziada, bonyeza kwenye chaguo la masoko zaidi, ambalo huonyeshwa kama > (+24, +16, +12, +2, +8 na kadhalika); kando ya mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kuweka bet zilizopo.
Baada ya kuchagua tabiri zako, bet slip itajitokeza ikionyesha tabiri ulizochagua, odds za tabiri zako, na kiasi cha kuweka bet hapo chini ya bet slip, ambayo inaweza kurekebishwa kulingana na kiasi ungependa kuwekea bet.
Fahamu ya kwamba unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye bet slip ili kudhibitisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.
Ikiwa unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza "ONDOA ZOTE".
Bonyeza "WEKA BET" ili kuweka bet.
Ujumbe wa kukuomba ku "THIBITISHA BET YAKO" utaonekana. Unaweza ku "FUTA" na kurudi nyuma kwenye bet slip yako, au kubonyeza "SAWA".
Baada ya kubonyeza "SAWA" ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:
- Michezo ulizochagua
- Tabiri zako
- Aina ya bet uliyoweka- Multi bet
- Kiasi ulichotumia kuweka bet yako
- Bet ID yako
- Possible win yako
- Salio lako kwenye akaunti yako ya SportPesa
Kumbuka: Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kwenye simu yako ya mkononi kutoka 79079 ili kuthibitisha bet uliyoweka.
Unaweza pia kuenda moja kwa moja kwenye historia yako ya bet kwa kubonyeza "Historia ya Bet" ili uone bets ulizoweka.